Tanzania United Parcel Service

Manumbumichael

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
207
19
Naomba kuuliza kwa mtu yeyote jamvini anayefahamu hawa United Parcel Service wanapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam aniambie, kama anaweza nisaidia pia na contacts zao nitashukuru zaidi
Natanguliza shukran zangu za dhati
 
Hao jamaa nafikiri wanaitwa Freight in Time Group. Namba zao za simu ni +255 222 400598 au +255 222 400874. Kila la kheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…