Tanzania tuna Vyama vya Siasa vitatu tu sio Ishirini

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Aug 14, 2023
245
655
Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo.

CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote vilianzishwa na CCM japo kwa nyakati tofauti lakini leo vyama hivi vinatafuta njia ya kushika dola kwa kumgeuka baba yao au mama yao aliyewazaa hivyo hakuna mzazi atakayelubali kuangushwa na mtoto aliyemzaa.

Kwahiyo CCM kwa kila namna wanataka ona mtoto kwa mzazi au kwa mama hakui na ilo wanafanikiwa kwa asilimia 💯.

Pia kuna vyama ambavyo vimeshafeli na havipo kwenye ramani
 
Back
Top Bottom