Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,869
- 3,200
Kama tunavoshudia hali ya amani duniani inazidi kuwa tete siku maana kila mtu ni kambale kwahyo muda wowote kunaweza kutokea vita hapa duniani.
Je, serikali yetu pendwa imejiandaaje kutulinda raia wake ndo swali kubwa najiuliza hapa, tuna air defense system ngapi.
Je, vingo'ra vipo kama ishara ya kutumbia tuingie kujfcha kwenye mahandaki au tunaishi kama hakuna litakalo tokea mbele kwenye hii dunia ya kila mtu mbabe?