Tanzania tumewakilishwa na nani kwenye Ufunguzi wa Cathedral for Notre-Dame Paris Ufaransa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,957
169,981
Viongozi wote mashuhuri duniani wako Paris Ufaransa kushiriki ufunguzi wa Kanisa Kuu la Maria Mtakatifu mama wa Yesu

Wageni mashuhuri Wakiongozwa na Rais mteule wa Marekani Donald Trump wamehudhuris

Bado nafuatilia kuona kama Africa Mashariki tuna Uwakilishi

Credit: BBC

Kanisa Moja Takatifu la Mitume 🌹

Mlale unono
 
Lile kanisa lilivyounga wazungu walichanga mamilioni ya dola kote ulimwenguni, lina uspesho gani hata kwenye majanga hawachangi hivyo....
NAMI nilivyamuona Trump na Mwakilishi wa Kiduku Kutoka North Korea Nimeshangaa sana 🐼
 
Back
Top Bottom