young-sha96
New Member
- Jun 2, 2024
- 3
- 0
Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya thamani
Katika miaka mitano ya mabadiliko Tanzania naipata jina Tanzania tajiri ambayo itapambania na kuchukua hatua katika mabadiliko ya kweli kwa kujenga misingi bora ya matumizi ya rasilimali watu
Katika Tanzania tajiri tunapaswa kufanya mabadiliko katika sekta mbalimbali za kujenga uchumi ili kuifikia Tanzania tajiri ikiwemo kuboresha mifumo ya ulipaji kodi na kutoa taarifa za kweli kwenye ukusanyaji wa mapato na kuwaelimisha wafanyabiashara umuhimu wa kulipa kodi kwa kuzingatia biashara zao na vitu wanavyovimiliki na kumfanya ajione anathaminiwa kwenye ujenzi wa Tanzania tajiri. Kudhibitia bidhaa feki na kuzipa thamani bidhaa za ndani.
DHUMUNI KUU
Kutumia vyanzo vyetu vya ndani kuwa utajiri wa nchi katika kujiendeleza , kujisimamia,kujiendesha, katika shughuli zote za uchumi.
DHUMUNI DOGO
kuboresha na kuongeza usimamizi wa sekta mbalimbali kwa kuweka watendaji waadilifu kama poulo Makonda, Hussein bashe.
MALENGO
(1) Kukuza uchumi
(2) Kuondoa umasikini kwa Wananchi
(3) Kuongeza mfumo wa ajira
(4) Sekta za afya imara
(5) Kurudisha maadili na tamaduni zetu
(6) Marekebisho katika sekta za usimamizi
Uchumi
Hapa tunahitaji watendaji waandilifu na wazalendo watakao kuwatajari kwa kupambana na kusimamia shughuri zote za uchumi viongozi wengi wangeiga mfanoa wa makonda ili tupige hatu.
Kuondoa umasikini kwa wananchi
Serikali pamoja na sekta binafsi wawajengee wananchi uwezo kwa kuzingatia kazi wanazozifanya mfano mkulima apewe mtajiri,apewe elimu,wapewe mikopo ya masharti nafuu,kuwatengezea vyama vya ushilika ,kuwatengenezea soko litakalo chukua mazao yao kwa thamani,kupeleka timu ya hali ya hewa ili kuwapa utabiri wa mwaka utakavyokuwa kabla hawajaanza msimu wa kilimo pia wataalamu wa kilimo.
Afya
Tanzania tajiri inatakiwa kuondoa vikwanzo kwenye swala la afya ili tuwe na nguvu kazi .afya ni nyenzo muhimu sana , tupunguze gharama,za matibabu.
Maadili na tamaduni zetu zirudishwe na kutunzwa. Mfano jambo la ushoga lina athari kubwa katika uchumi sababu linaenda kupunguza idadi ya vizazi vijayo ,pia hawa madada poa nao wanahitajika wazuiliwe sasa wanaweza wakaiathiri Tanzania tajiri.