Baada ya Timu yetu ya Taifa, Taifa kufuzo michuano ya Afcon 2024 ni wazi kabisa timu yetu sio kichwa cha mwenda wazimu tena kama alivyo wahi kusema Rais wa awamu ya 2 dkt Ali Hassan Mwinyi.
Pongezi nyingi sana kwa taifa , pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuweka hamasa kubwa kwenye Soka letu, hakika hamasa ya Rais Samia imeongeza ari na uzalendo mkubwa kwa wachezaji wetu.