ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,534
Hii nchi wakati mwingine nakuwa na hasira nayo ila wakati mwingine Kuna Mambo yanaleta raha Sana Kama Hili la sikukuu ya idi leo hela zipo sitaki stress.leo wale waliokuwa wamefunga kwa kusindikiza watakunywa pombe na kuvuta sigara.unajua wakati mwingine maisha Bila pombe kazi zinakuwa hamna.ukikaa muda hujanywa pombe itafika kipindi utaanza kujiuliza umeacha pombe lakini shida ziko palepale na kwanza Kama Ni kufa utakufa tu hata usipotoa ma lock.haiwezekani eti uingie club watu wanacheza wewe unakunywa soda unashangaa watu SI Bora uwe vibe tu ucheze.leo bar na guest zitajaa na leo watu ambao hawajawahi kunywa pombe leo utakunywa na vile vile Leo bikra zitatolewa ukimpiga sound mtoto anaona yes kapata bwana wake.