Ubora wa ni tofauti. Uwanja wa Arusha una mambo mengi. Pia hizo 44b ni Ksh ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh 900b. Acha upotoshaji kilaza mkubwa wewe.Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata picha gani??
Katika hayo mambo mengi hamna rushwa ?😏Ubora wa ni tofauti. Uwanja wa Arusha una mambo mengi.
Mafisi, kumbe kwa kiasi hicho bila kuwa na mafisi ya kitanzania vingejengwa viwanja 6 vya ujazo wa kuruhusu watu 60,000Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata picha gani??
Mtoa mada amepotosha gharama za ujenzi ni bilioni 44.7 kenya shilingi ambapo kwa tanzania ni takribani bilioni 927Mafisi, kumbe kwa kiasi hicho bila kuwa na mafisi ya kitanzania vingejengwa viwanja 6 vya ujazo wa kuruhusu watu 60,000
soma hapo bungeni kenya walishajadili gharama za ujenziSawa uhalisia ni upi?
Ktk hili labda tumuite mwasibu OKW BOBAN SUNZU , yeye ni bingwa ktk hesabu za fedhaNilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata picha gani??
Watawala wamefanikiwa ku normalize rushwa kwa kuipa majina mepesiNilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata picha gani??
Kwa hiyo na wewe umeamini TSh 44Bilioni unaweza kujenga uwanja wenye capacity hiyo?Mafisi, kumbe kwa kiasi hicho bila kuwa na mafisi ya kitanzania vingejengwa viwanja 6 vya ujazo wa kuruhusu watu 60,000