MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,652
- 7,567
Aisee hivi ni kweli tanzania wasomi na watu wenye akili zao wameisha mpaka kila siku hizi teuzi za mchongo za raisi ni za watu wale wale wa kuhamishwa sehemu za kuramba asali.Mtu anaharibu huku unampeleka kule for what???
Mtu anatenguliwa huku then anateuliwa huku badae tena anaibukia huku hii maana yake rais hafai anaonea watu haya(aibu) kuwapiga chini ambao hawafiti kwenye mfumo wake.
Sio nafasi za uwaziri,ukurugenzi,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya,mchezo umekuwa ni hama hama tu nenda kule rudi huku.
Serikali ya kuoneana aibu ambayo sio ya kuwajibishana mtu akileta mapuuza ofisi za umma haifai.
Watu wanaleta ushikaji na umama kwenye mali za umma no wonder vijana siku hzi wamekuwa machawa na wengine wanafosi juu chini wajulikane mitandaoni ili waonekane.
Hii nchi kama hakutakuwa na utawala bora na uwajibikaji tusahau maendeleo.