Napenda kujua serikali yetu ya tanzania ni ya aina gani ...Je ni mchanganyiko wa kidikteta na kidemokrasia au inaendeahwa kwa mfumo wa aina gani ...swali langu la pili ni kwamba .je? Serikali yetu viongozi wetu wana weledi katika njanja za uongozi katika aina ya serikali wanayoiongoza ??? Je kuna tofauti gani katika mfumo wa kuongoza serikali yetu na mfumo wa uongozi na uendeshaji wa nchi kama Rwanda ,Burundi,Uganda na Congo DRC ???