Kwa sababu sisi ni wapole sana, hata rasilimali zetu zikigawiwa kwa wageni wa nje hatufanyi vurugu, wanaotutetea wakizushiwa kesi, tukilimwakodi hadi tukauke, tukiishi kwa kubambikiwa kesi nk, tunaendelea na mdogo mdogo kama twiga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.