Tanzania na Uganda

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,226
5,145
Tanzania, Uganda kuhusu bomba la mafuta…muda na gharama?

Makoleko TZA
Serikali za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la mafuta ghafi lenye urefu wa Kilometa 1,443 kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga Tanzania ambao utagharimu Dollar 3.55b.

Mkataba huo umesainiwa Kampala, Uganda na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Prof. Paramagamba Kabudi na Waziri wa Nishati wa Uganda, Mhandisi Irene Muloni.

Utiaji huo wa saini unakuja siku chache baada ya Marais wa Nchi hizo Dkt. Magufuli na Yoweri Museveni, kutia saini tamko la pamoja kukamilika majadiliano ya vipengele vya mkataba walipokutana Ikulu, Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…