MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa.
Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kudumisha mahusiano ya Tanzania na mataifa mbalimbali ulimwenguni yanayolenga kuujenga uchumi wa nchi yetu. WIN WIN SITUATION.
Kazi inaendelea