Naona Serikali ya Awamu ya Tano Imekuja na Neema za Aina Yake, Maana Tulizoea Kushika Nafasi za Juu katika Mambo mengine ambayo si ya Kuvutia sana au ya kimaendeleo Kwa Hili, Big Up Watanzania Wote...
"
According to this new statistic shared by the International Monetary Fund IMF, Tanzania is on Second positionamong the top 15 growing economies in Africa. The statistic shows that Cote D’Ivoire is the most economically viable country in Africa."
Nimeipata Bongo Hapa.. Udaku Special Blog
Ila Source ni IMF
Umeipata udaku bog?, halafu utegemee watu wazima tuamini udaku?
Hivi kujisifu kwetu mno kuliko uhalisia utatatupeleka wapi? Majisifu haya ndio yanayopelekea kuwa tori kila kitu dunianiNaona Serikali ya Awamu ya Tano Imekuja na Neema za Aina Yake, Maana Tulizoea Kushika Nafasi za Juu katika Mambo mengine ambayo si ya Kuvutia sana au ya kimaendeleo Kwa Hili, Big Up Watanzania Wote...
"
According to this new statistic shared by the International Monetary Fund IMF, Tanzania is on Second positionamong the top 15 growing economies in Africa. The statistic shows that Cote D’Ivoire is the most economically viable country in Africa."
Nimeipata Bongo Hapa.. Udaku Special Blog
Ila Source ni IMF
Wazungu bwana! Wana njama. Kwa economy gani?
Africa’s fastest growing economies for 2016 revealed
Western Africa
by Aviwe Mtila Last Updated: Mon, 25 Apr 2016 12:23:13 GMT 0
Ghana is not part of Africa’s fastest growing economies according to the IMF’s latest World Economic Outlook. Photo: Wikimedia.
With an expected growth rate of 8.5 per cent for 2016, Côte d’Ivoire will be the fastest growing economy in Africa, according to the International Monetary Fund’s latest World Economic Outlook.
Côte d’Ivoire’s economy has benefited from government policies and structural reforms, which have resulted in strong inclusive growth and has increased both private and public investments, according to the World Bank.
Despite the Ghanaian government painting a positive picture about its economy, Ghana didn’t make it to the top ten fastest growing African economies.
Placed second is Tanzania with a projected growth rate of just under 7 per cent and Senegal completing the top three with 6.6 per cent.
According to the World Economic Forum, Africa’s positive economic outlook is under pressure with the growth rate expected to remain just under 5 per cent. Foreign direct investment flows are expected to continue to grow, although at a slower pace.
Rwanda has transformed dramatically since the 1994 genocide and is now placed 5th in the fastest growing African economies. The country is one of the continent's most competitive economies and a top reformer in improving the business environment.
Ahead of the World Economic Forum on Africa in May, it is important to recognise the major challenges that many African economies face. Some of the major threats include commodities slump, currency devaluations and geo-security risks.
The World Economic Forum on Africa 2016 will take place in Kigali, Rwanda from 11-13 May.
Source: CNBC Africa
Utazungusha mikono hadi lini?Wazungu bwana! Wana njama. Kwa economy gani?
HIZO NI ESTIMATIONS TUHongera JK kwa kuupandisha uchumi
Sasa mkuu hapo wa kusifiwa ni serikali ya awamu ya NNE au ya tano? Maana serikali ya awamu ya tano hata bajeti yake badoNaona Serikali ya Awamu ya Tano Imekuja na Neema za Aina Yake, Maana Tulizoea Kushika Nafasi za Juu katika Mambo mengine ambayo si ya Kuvutia sana au ya kimaendeleo Kwa Hili, Big Up Watanzania Wote...
"
According to this new statistic shared by the International Monetary Fund IMF, Tanzania is on Second positionamong the top 15 growing economies in Africa. The statistic shows that Cote D’Ivoire is the most economically viable country in Africa."
Nimeipata Bongo Hapa.. Udaku Special Blog
Ila Source ni IMF
Ki vipi uchumi umekua?Utazungusha mikono hadi lini?
Wewe mpuuzi ni wapi nimezungumzia vyama. Unadhani utanitisha na Kiingereza chako njaa? Fanya hivi; zungusha, zungusha zungusha. Nikisema "mabadilikooo" unajibu "Lowasaaa".Ki vipi uchumi umekua?
Mtu akikuambia umependeza, jiangalie na wewe mwenyewe. Wengine wanakuvisha vilemba vya ukoka.
Kwanini humu ndani mawazo yenu yote ni vyama? Wengine tuko huru. Usipende kutawaliwa na fikra za wengine. Stand for what you believe in not for what somebody else wants you to believe.