Tanzania itungwe Sheria ya ruzuku ya ndoa

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
1,218
1,741
Habari za jioni.

Ndugu zangu kila siku nawaza mambo mengi ambayo tukitafuta ufumbuzi nahisi yatapunguza matatizo na changamoto zinazosumbua jamii zetu.

Napendekeza nchi yetu kupitia bunge itungwe sheria ya ruzuku kwa vijana wanaotaka kuoana.Sheria hii izingatie pia namna ya kukaa na viongozi wote wa makabila yote 120 ya Tanzania na kuangalia mahari zipungue au kuwe na flat rate ya mahari kwa kabila zote na serikali itoe ruzuku.

Hii itasaidia vijana wengi kumudu kujenga famila ili kila raia aongeze idadi ya watu nchini kwetu. Pia itapunguza ubakaji na kukomesha biashara ya ngono kwakuwa wengi watakuwa wanajiheshimu na ruzuku itasaidia vijana kuanzisha biashara au kilimo au ufugaji.Pale Libya liliwezekana hili.

Nini maoni yako.
 
Kupeana taraka na kuachana pia iwe kosa la jinai.
 
Back
Top Bottom