Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 530
- 2,360
Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti
Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram.
Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha, unajivunia, unakua comfortable sasa ivi hali ni tofauti
Athari za ushoga ni kupoteza nguvu kazi, manake uchumi nao utaathirika negatively.,kuongezeka kwa ulawiti,
Ukweli mchungu ni kwamba serikali inalifumbia macho ili ijiwekee mazingira mazuri ya kupata misaada kutoka nje.
Tujifunze kwa Uganda wenzetu they play no games kwenye suala ushoga ukifanya masihara unaishia jela