Ukizaliwa na kuishi hapa Tanzania yetu utajifunza mengi sana kuhusu Binadamu na nafikiri hata tukishakufa Mungu hana kazi tena kwa maana kila kitu tumeshamaliza hapa hapa Duniani!
Unaweza kushangaa Nape Nnauye kesho akaungana na fisadi lowasa dhidi ya Serikali ya CCM, kuzaliwa nchi hii ni kila kitu, unapata majibu yote hapa hapa, ...