Ramani inayoonyesha vitalu mbalimbali vya mafuta na gesi asilia nchini Tanzania
TUMEONA katika makala zilizotangulia kwamba ili wananchi wanufaike na rasilimali za mafuta na gesi asilia katika mataifa yanayozalisha rasilimali hizo, ni vyema mipango iliyowekwa – ya kitaifa na kimataifa – izingatiwe kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.