Tangu vita vya Ukraine na Urusi vianze sijawahi kuona vikiripotiwa ITV

ASIE NA MAKUU

Member
Aug 10, 2021
45
66
Yaani tangu Urusi aivaimie Ukraine sijawahi kuona habari hizo zikisomwa ITV. Je, ni kweli hawapati hizo habari au wameamua kutotoa habari hizo? Halafu hata habari Kimataifa naona wanatoa Kenya, Burundi na Kongo (DRC) na hata habari zenyewe Siku hizi zinakuwa ni kama highlights tu.

Kwa kweli ITV hebu rudini kwenye ubora wenu wa awali tupate habari za mataifa mbali mbali tena kwa kina .
 
Hawana ripota kule
 
Azam amefunika. Kwanza watangazaji wake ni mahiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…