chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Hapa hakuna poor creativity hata kidogo ila kuna ubaguzi wa race! Ukiangalia tangu mwanzo unaona kijana wa kiafrika anamsogelea mchina kwa nia ya kumbusu mdomoni (amempenda). Mchina anajifanya kama kumwita halafu anamsokomeza ndani ya mashine ya kufulia kwa dharau! Baada ya machine kufanya kazi yake anageuka kuwa kijana wa kichina (sio weupe tu bali amebadilika race yake kutoka mwafrika kuwa mchina). Baada ya kuwa mchina bibi sasa ndio anamwa-admire!!poor creativity..halijakaa poa kabisa
what does TCRA got to do with this?For the first time nasema aliyetengeza na aliyerusha hilo tangazo ni WAJINGA sana maana wana genes za ubaguzi wa kiwango cha juu kabisa. Yaanai wanasema waafrica tunapashwa kufuliwa / kucream tuondoe rangi yetu ya asili ambayo kwao ni uchafu na tuwe weupe yaani wasafi!!!!!!!!!!!!!!. Pumbavu sana.
TCRA mko wapi au mnashughulika na wa wanaJF tuuuu!!!!!!!!!!!!! na Whats up!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbavu zangu! CCM ya China?huyo jamaa nae alikubali kushiriki.Yani hii ccm kweli imetufikisha pabaya