Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 30,681
- 34,080
Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.Ili kusoma majina ya walioitwa kwenye Usaili tumia kiunganishi hiki Jeshi la Polisi Tanzania