Tangazo dogo kwenye gazeti la serikali huchukua muda gani kutoka?

Herbalist Mtaturu

Senior Member
Aug 17, 2023
152
234
Kwema wakuu?

Naomba kujua ukishalipia tangazo dogo kwenye gazeti la serikali huchukua muda gani ili tangazo litangazwe kwenye gazeti?
 
Back
Top Bottom