Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,937
- 19,129
Unatafuta kesi na NGOs zinazotetea haki za binaadamuRIP KIUKWELI WAHUSIKA WATAFUTWE POPOTE NA WANYONGWE...INAUMA SANA YAN WANAWAKE WOTE HAWA UNABAKA MTOTO??!!!
Wauliwe kwa kunyongwa mpaka wafe!RIP KIUKWELI WAHUSIKA WATAFUTWE POPOTE NA WANYONGWE...INAUMA SANA YAN WANAWAKE WOTE HAWA UNABAKA MTOTO??!!!
Watakuwa wambaka kisha wakamuua kupoteza ushahidi. Ukatili ulioje!Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake korongoni.
Kwa ukatili huu wakikamatwa wanastahili adhabu gani?
View attachment 521932
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake korongoni.