Kwani matumizi ya herufi kubwa bado hujui?
Huyo mwalimu kuna kitu amekificha, huwezi ukahimiza kwa nidhamu hivyo (kama unavyoelezea) halafu upigwe mawe. Huyo lazima atakuwa ndio wale walimu wanoko, ameshalikoroga, asubiri wenye mji wamkaribishe mjini.