Kabla ya kuteketezwa yalipelekwa kwa mkemia kuthibitisha ni madawa kweli then safari ya kwenda kuyachoma ikaanzia hapo au kiini macho? Madawa ya kulevya sio issue ya kuichukulia kirahisi rahisi hasa kwa kuzingatia nguvu ya mtandao wake.Wana JF,
Kumekuwa na mjadala mkubwa hapa ya kuwa dawa za kulevya haziteketezwi na baadhi yetu tumekwenda mbali na kuwa sisi ndio majaji na wanasheria na kujiona wakuu wa kulaumu haya sasa kiasi hiko kimeteketezwa Tanga.
"Mahakama kuu kanda ya Tanga yateketeza kilo 48 za dawa za kulevya katika tanuru la kiwanda cha kutengeneza saruji cha Rhino kilichopo jijini Tanga chini ya ulinzi mkali wa polisi na kushuhudiwa na wanasheria wakiongozwa na jaji wa Mahakama kuu kanda ya Tanga mheshimiwa Upendo Msuya"
Chanzo : ITV
dog 1
Mara nyingi yanachomwa bro sema hatufuatilii tu brokwa mara ya kwanza tanzania, siku zote nasikia tu vipodozi vinachomwa moto na sio sembe
Sasa bro dogo , Mkemia ndio kasema ni dawa na ndio maana amri ya Mahakama ikatekelezwa bosiKabla ya kuteketezwa yalipelekwa kwa mkemia kuthibitisha ni madawa kweli then safari ya kwenda kuyachoma ikaanzia hapo au kiini macho? Madawa ya kulevya sio issue ya kuichukulia kirahisi rahisi hasa kwa kuzingatia nguvu ya mtandao wake.
Ndugu yangu utaratibu uko hivi, madawa yanapokamatwa kutoka kwa mtuhumiwa kabla ya kupelekwa mahakamani lazima yathibitishwe na mkemia. Baada ya hapo hupelekwa kuhifadhiwa kitengo cha madawa ya kulevya. Yamekuwepo majaribio mengi ya kuyabadili madawa na kuweka kitu kingine. Ni majaribio mangapi yamefanyika na kufanikiwa siwezi kujua. Kwa mantiki hiyo iwapo madawa yanachunguzwa katika hatua ya awali ya upelelezi basi ipo haja ya kuyachunguza tena baada ya kesi kuisha ili wanaoenda kuyachoma wajuwe wanachoma madawa ya kulevya. Usishangae madawa yanayokamatwa ndio hayo hayo yanarudi tena sokoni mitaa ya magomeni na kwengineko jijiniSasa bro dogo , Mkemia ndio kasema ni dawa na ndio maana amri ya Mahakama ikatekelezwa bosi
Mkuu dawa zikikamatwa mwenyw jukumu la kuthibitisha ni mkemia na ndio mwenye kutoa ushaidi mahakamani wakati wa mashauriano na hii ni kwa mujibu wa vidhibiti vyote vinavyohusiana na hivyo, vinahifadhiwa sababu mtuhumiwa anaweza kupinga na pia kesi zetu haziendi haraka, siku ya kesi wakati wa ushahidi lazima kidhibiti kiwepo mahakamani na ndio wakati ambao mkemia anatoa ushaidi wake mkuuNdugu yangu utaratibu uko hivi, madawa yanapokamatwa kutoka kwa mtuhumiwa kabla ya kupelekwa mahakamani lazima yathibitishwe na mkemia. Baada ya hapo hupelekwa kuhifadhiwa kitengo cha madawa ya kulevya.
haaaaa haaaa haaaaaSasa huo moshi wake watu waishio mkoa huo ni usingizi mtupu,mi mkazi wa dar Leo najionea duble duble tu nguvu sins huenda ni athari ya moshi huo
Sijaelwa umelenga wapi Kwa sababu utaratibu nimeueleza Kwa kifupi. Tatizo lako utaratibu wa kipolisi kuhusu utunzaji wa vielelezo inawezekana wewe unaujua kwa kusikia au Kwa kuhisi tu kua uko hivyo. Niishie hapoMkuu dawa zikikamatwa mwenyw jukumu la kuthibitisha ni mkemia na ndio mwenye kutoa ushaidi mahakamani wakati wa mashauriano na hii ni kwa mujibu wa vidhibiti vyote vinavyohusiana na hivyo, vinahifadhiwa sababu mtuhumiwa anaweza kupinga na pia kesi zetu haziendi haraka, siku ya kesi wakati wa ushahidi lazima kidhibiti kiwepo mahakamani na ndio wakati ambao mkemia anatoa ushaidi wake mkuu