simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kwa hivyo kauli za rais ni za kupuuziwa?Kauli za kisiasa majukwaani huwa mara nyingi zinabaki hukohuko - kwenye jukwaa.
Yes....some of them.Kwa hivyo kauli za rais ni za kupuuziwa?
Hawathubutu kukata, wakate waone.Hizo ni comedy za jukwAani tu hamna jipya.
Sensible police yupi Tanzania hii?Yes....some of them.
Sasa unapowaambia police, say wawe wanang'oa tairi za gari kwa wakosaji barabarani unategemea any sensible policeman will do that?
Viroba bado vinanywewaMasaa zaidi ya 48 tangu rais JPM kutoa agizo kukatiwa umeme mdaiwa sugu Zanzibar bado uongozi wa TANESCo haujatekeleza agizo la rais. This amounts to insuebordination . Uongozi wa TANESCo utumbuliwe kulinda hadhi ya rais. Hapa kazi tu.
Thubutu SMZ itatoa wapi 121 billion in short order, mishahara ya wafanyakazi tu pasua kichwa. Kubali kwa hili Muungano umenasa pabaya ,Zanzibar itatumia free energy for ever and a day. Bisha ,kata umeme uone repercussion yake. Mtaimbo umeganda baba. Hahaha.Viroba bado vinanywewa
Una uhakika gani kama wamelipa?
Nenda pale central ujionee mwenyewe wewe fisiYes....some of them.
Sasa unapowaambia police, say wawe wanang'oa tairi za gari kwa wakosaji barabarani unategemea any sensible policeman will do that?