Shirika apewe Makonda au Gumbo.Uongozi wa Kulipizana Visasi, uongozi wa kuwadharau wataalamu, wanasiasa kujeuka wataalamu.
Hivi watu wengine mna akili timamu kweli ? Kila kitu mnaona hakifai mnataka nn hasa ? Maboresho yanayofanywa ili kuboresha ufanisi mnaona ni upumbufu au ndiyo mnalipwa kukosoa ? Tangulizeni uzalendo na siyo hizo posho mnazopewa kukosoa kila jamboHii nchi imekuwa sio ya utendaji bali imekuwa ya kutafutana na kuviziana ili uonekane unafanya kazi
Sio kwa Tanzania hiiHivi watu wengine mna akili timamu kweli ? Kila kitu mnaona hakifai mnataka nn hasa ? Maboresho yanayofanywa ili kuboresha ufanisi mnaona ni upumbufu au ndiyo mnalipwa kukosoa ? Tangulizeni uzalendo na siyo hizo posho mnazopewa kukosoa kila jambo
Tupe uthibitisho kama hicho ulichoandika kina ukweli ,tutaaminije kiongoziSHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha Umma kuwa liko katika hatua mbali mbali za mabadiliko ya Uongozi wa ndani ya Shirika kwa lengo la kuongeza ufanisi zaidi.
Kwa msingi huo, mabadiliko yanayoendelea ndani ya Shirika yatawekwa wazi kwa wakati muafaka kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika kwa kupitia vyombo vya habari.
Hivyo tunaomba vyombo vya habari vitoe fursa kwa Mamlaka husika kuendelea kukamilisha zoezi hili muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa kwa ujumla na taarifa rasmi itatolewa baada ya zoezi kukamilika.
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO - MAKAO MAKUU
05 Januari 2017
Mashimo mengine mshaambiwa hayafukuliki... Koma ukomaeJPM uhamie TANROADS, usijifanye eti tumesahau 560Billions za CAG wizarani kwako.
Ulilipa makandarasi hewa na wengine mara2.
Binadamu tunatofautiana kimtizamo, anavyowaza mwenzako ni tofauti na uwazavyo ww. Kwahiyo si vyema kmkejeli mwingine sijui ana akili ama vp. Jukwaa hili linatakiwa kujengwa kwa hoja sio kejeli wala matusiHivi watu wengine mna akili timamu kweli ? Kila kitu mnaona hakifai mnataka nn hasa ? Maboresho yanayofanywa ili kuboresha ufanisi mnaona ni upumbufu au ndiyo mnalipwa kukosoa ? Tangulizeni uzalendo na siyo hizo posho mnazopewa kukosoa kila jambo
Hakuna hoja yoyote ya maana kwenye hii thread zaidi ya mihemko. Mojawapo ya sehemu za kufanyia utafiti wa elimu ya tz kama ni bora au bure kabisa ni humu ndani ya jukwaa. Watu hawana hoja wala hawachangii kwa hoja bali ushahabiki au kulaumu tu bila kuonyesha kwa undani logic ya kushahabikia au kulaumu kwakeBinadamu tunatofautiana kimtizamo, anavyowaza mwenzako ni tofauti na uwazavyo ww. Kwahiyo si vyema kmkejeli mwingine sijui ana akili ama vp. Jukwaa hili linatakiwa kujengwa kwa hoja sio kejeli wala matusi
Sio rahisi kwa sababu ni hatari sana.. Ili umeme usafiri kwenye hewa utahitaji nishati(energy) kubwa ambayo itabadilisha air into plasma ambayo ndio itaweza kusafirisha umeme.. Ambapo huwa ni approximately 30,000 volts per 1 cm.. Sijui unaelewa.. Huo ukipigwa nao unakua majivu.. HahahSHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha Umma kuwa liko katika hatua mbali mbali za mabadiliko ya Uongozi wa ndani ya Shirika kwa lengo la kuongeza ufanisi zaidi.
Kwa msingi huo, mabadiliko yanayoendelea ndani ya Shirika yatawekwa wazi kwa wakati muafaka kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika kwa kupitia vyombo vya habari.
Hivyo tunaomba vyombo vya habari vitoe fursa kwa Mamlaka husika kuendelea kukamilisha zoezi hili muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa kwa ujumla na taarifa rasmi itatolewa baada ya zoezi kukamilika.
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO - MAKAO MAKUU
05 Januari 2017
Akienda uko nahama nchiJPM uhamie TANROADS, usijifanye eti tumesahau 560Billions za CAG wizarani kwako.
Ulilipa makandarasi hewa na wengine mara2.