Sioni umuhimu wa hiki kipindi cha kutuelezea miundo mbinu ya TANESCO na jinsi ya kuzibiti wizi wa umeme. Na huku wao TANESCO wanatuibia sisi Watanzania kwa kutumia tungo tata 'Service Charge'
Sioni umuhimu wa hiki kipindi cha kutuelezea miundo mbinu ya TANESCO na jinsi ya kuzibiti wizi wa umeme. Na huku wao TANESCO wanatuibia sisi Watanzania kwa kutumia tungo tata 'Service Charge'
Haya in ya kweli kipindi chao hakina tija!
Nilijaribu kuingia kwenye website ya TANESCO kupata taarifa za namna ya kupata umeme huku pembezoni ya jiji Dar maana kuna watu wanaoita kuchangisha shs elfu 6 za form, elfu 30 za kuingia kwenye nyumba kukagua. Hapo bado gharama za kuingiza umeme. Nilitegemea kupata taarfa zitakazojibu maswali yangu lakini sikufanikiwa. Kwanza hakukuwa na maelezo niliyoyataka pia Website yao iko kwa kimombo tu. Afadhali wenzao DAWASCO website yao ni Kiswahili lakini nako sikupata taarifa nilizokuwa natafuta!
Service charge ni "Elephant in the living room" Tanesco inabidi watueleze kwa nini tunalipa service charges wakati umeme wenyewe unakatika kila siku na hela za service charge zinatumika kufanya nini.