KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Dec 16, 2023
57
82
Salaam kwenu wana JF,

TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia?

Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula uugue malaria ufe!

Ipo siku tutachoka, tutaacha kulalamika tuchukue ngumi mkononi, mnatufanyia vibaya.

Na mlivyokuwa hamuoni vibaya, CAG akija na ripoti yake kuna madudu kibao! Mnafikiri mtaishi milele? Msipolipia ninyi hizi dhambi zenu watalipa wajukuu na vitukuu vyenu.

Endeeleni tu kutuona manyani, ipo siku manyani yatasimama kuwaadabisha warusha ndizi wote!
 
Kuna Rais alimwambia Rais wa TZ eti anaongoza maiti!!!!?

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Yani Hawa jamaa ni kero sana. Nahisi Wana tatizo ktk namna yao ya kufikiri. Kero hizi hazija anz Leo Wala Jana na inavyo onekana hawana uwezo kabisa wa kuziondoa. Are they really a learned personel?
 
Hivi hii nchi inakiongozi au ni geresha

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu,hata akisema atuache tujiongoze tutakaa sawa zaidi ya sasa akiwa yupo lakini hajui kama yupo.

Huku Mbezi Kimara maji hayatoki na hata yakitoka yanatoka machafu yakiwa na vumbi na hayadumu nusu saa yamekatika.
 
Tanesco ndio kitu cha mwisho kwenye hii nchi.

Tanesco unaaambiwa kuna mameneja kila mkoa,Wilaya, kuna Mkurugenzi Mkuu, kuna mainjinia kuanzia kuanzia ngazi za wilaya huku hadi taifa na kubwa kuliko kuna Waziri wa nishati ila wote hao wanachofanya hata hakijulikani, UMEME umekuwa Janga la hili Taifa.
 
Yani Hawa jamaa ni kero sana. Nahisi Wana tatizo ktk namna yao ya kufikiri. Kero hizi hazija anz Leo Wala Jana na inavyo onekana hawana uwezo kabisa wa kuziondoa. Are they really a learned personel?
Wanafanya kusudi au kweli ni wajinga! Tuliwezaje kukaa kipindi cha Magu bila mgao huu wa kipumbavu? Kwanini tunashindwa sasa?
 
Tanesco ndio kitu cha mwisho kwenye hii nchi.

Tanesco unaaambiwa kuna mameneja kila mkoa,Wilaya, kuna Mkurugenzi Mkuu, kuna mainjinia kuanzia kuanzia ngazi za wilaya huku hadi taifa na kubwa kuliko kuna Waziri wa nishati ila wote hao wanachofanya hata hakijulikani, UMEME umekuwa Janga la hili Taifa.
TANESCO Mnafanya kazi gani? Kweli mnatembea kifua mbele kwa huduma hizi za kipuuzi?
 
watz ni wafu. Mgao mkubwa wa umeme umeleta umasikini mkubwa kwa watu wa vipato vya chini. Ila yenyewe imetulia tu kama mapumbafu
 
Wanafanya kusudi au kweli ni wajinga! Tuliwezaje kukaa kipindi cha Magu bila mgao huu wa kipumbavu? Kwanini tunashindwa sasa?
Shangaa hata wewe tulisahau kutembea na charge, kama Mwl wa speak English not kiswahili
 
Back
Top Bottom