Jack1402
New Member
- May 13, 2018
- 1
- 1
Kahama Mjini kuna laini moja ya umeme ambayo imeunganisha maeneo ya Nyihogo, Mhungura, Dodoma hadi Shunu.
Miezi miwili au mitatu mfululizo pamekuwa na changamoto ya ukataji wa umeme pasipo taarifa yoyote na shida ni kwamba umeme unakatwa asubuhi na kurudishwa kati ya saa 12 jion au saa moja na huo utaratibu unatokea siku mbili au tatu kila wiki.
TUPENI TAARIFA KUNA MGAO AU SHIDA IKO WAPI.