Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,386
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME.
Hoja yangu ni UMEME
Kutokana na Sintafahau iliyoikumba NCHI yetu juu ya Suala zima la Upatikanaji wa Umeme na Matamko ya kukinzana ya Viongozi wetu.
Binafsi naamini Kama Taifa Suala la Umeme ni JIWE la Pembeni lililowashinda Waashi.
Viongozi wetu kila mmoja anatoa Tamko Lake yupo anayesema tatizo litaisha baada ya miezi 6 Waziri wa Nishati nae Ana Tamko lake Naibu waziri wa nishati nae Ana kauli yake Mkurugenzi wa Tanesco nae Ana yake Bunge nalo lina Tamko Lake ili mradi Suala la Tanesco limekuwa la MATAMKO.
USHAURI
Kama tulivyofanya kwa Bandari kuamua KUIWEKEZA kwa DP WORLD DUBAI
Kuna umuhumi pia wa TANESCO nayo kuitafutia MWEKEZAJI kwani kuiendesha wenyewe IMESHINDIKANA.
Kituo cha Uwekezaji kitutafutie Mwekezaji are APEWE TANESCO.