FOX21
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 490
- 899
Ndugu zangu watanzania kwanza hiwapongeza kwa uvumilivu mlio nao na matarajio ya kuuona mwaka mpya🎇🎇🎆.
Nasikitika kuwambia ndugu zangu kuna huyu nyang'au anaejiita TANESKO hana mipango mizuri na sisi. Wote tunatamani kuupokea mwaka miji yote ikiwa imechangamka kwa burudani za kila aina. Ila hawajamaa walivyo mashet... usishangae wakaanza kuzipiga teke switch na tukajikuta gizani. Yani ni kero ilioje!!😠😠
Mwaka unaanzaje kama jambazi anaevamia, hata watoto wetu hawata shangilia kwa furaha na amani ukiona hiyo hali basi tambua tuna uanza mwaka na kuibiwa. Somewhere kuna mambo yana fanyika.
Ndugu zangu wana JF nawatakia heri ya mwaka mpya, tusherehekee kwa amani na upendo, tusinywe kupita kiasi. Familia tuzikumbuke tukumbuke kesho ipo.🙏🙏