nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 596
- 557
Hatujawahi kuona umeme ukikatwa bila kuelezwa sababu kama huu wakati Rais yuko ziarani mkoa wa Tanga. Tumeambiwa tuna umeme mwingi wa ziada kwanini tunakatiwa umeme?
Tusifuatilie ziara ya Rais? Au ni nini, vyombo vyetu vimeunguzwa nani wa kutulipa? Mh. Rais Arusha ina siasa ya hovyo huu ni mwaka wa uchaguzi viongozi wengi wako upinzani, tumia jicho la ziada kuyajua haya.
Fanya overhaul, ondoa viongozi wote ngazi ya mkoa ukianzia mkuu wa mkoa utanielewa baadaye. Mungu akupe maisha marefu