Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku shule za vijiin zikiendelea kuwa na uhaba wa walimu rejesheni ule ule utaratibu.