Kwanini shule zipo TAMISEMI na wakati kuna wizara ya elimu? ni mambo ya ajabu snMwarobaini wa hili ni aidha shule au hospitali zitolewe Tamisemi
Watu wanajilipa hakuna namna maana watawala wanagawana keki ya taifa kilaini snTen percent zitawaua
Teacher mgawo umekupita kushoto nini? Subiri kusimamia mitihani ya F4Waziri wa TAMISEM Ummy Mwalimu na Naibu wake wanatakiwa waingilie kati swala hili haraka maana viongozi wa halmashauri wamejigeuza MIUNGU watu wananunua vifaa kwa bei ambayo haipo na viko chini ya viwango.Humu ktk jukwaa hili kuna viongozi wengi.Lakini pia kwa sasa viongozi wa halmashauri hawaoni haya wala soni kuomba teni (10%)percent kutoka mamlaka za chini.
Mila kijiji kina kamati ya shile inayoshughulikia hayoShuleni kuna maafisa manunuzi?
Sheria ya manunuzi inasemaje?Mila kijiji kina kamati ya shile inayoshughulikia hayo
Mkuu babati sio kila anaecomment au kupost katika uzi huu ni Teacher na hata kama ni Teacher siendeshwi na masrahi binafisi bali naendeshwa na masrahi ya Umma na nchi yetu kwa ujumla. Issue hapa ni kuwa halmashauri itafanyaje manunuzi ya vifaa kwa kutumia fedha ambazo ziko kwenye account za shule au hospitali?Teacher mgawo umekupita kushoto nini? Subiri kusimamia mitihani ya F4
Procurement officer wa Halmashauri katika ubora wako. Onyesha wapi panasema hivyo vifaa vinunuliwe na Halmashauri.Sheria ya manunuzi inasemaje?
Uelewa na elimu yako juu ya mambo vipo chini sana , na kifupi ni kwamba mjadala huu umezidi na ni mkubwa sana kwako hivyo ni busara uka kaa kimya ili ujifunze kutoka kwa watu wenye uelewa na swala hili.Teacher mgawo umekupita kushoto nini? Subiri kusimamia mitihani ya F4
Hapa umewaza kwa kutumia tumbo.Sio kila anayeleta mjadala huu lazima awe mwalimu.Anawezakuwa raia anayeangalia masilahi mapana ya shule na wadau wake.Ukweli ni kwamba halmashauri nyingi zimejaa wapigaji.Maamuzi kama hayo yatawasaidia kuzipiga hela.Mbaya zaidi ukifika muda wa wakaguzi wataanza kuwasumbua walimu wasaini derivery notes feki.Teacher mgawo umekupita kushoto nini? Subiri kusimamia mitihani ya F4