Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 49,739
- 72,700
Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.