TAKUKURU: Kugawa Fedha, Nguo na Chakula Kwa Wapiga kura kunadhalilisha Utu wa Mtu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,019
168,427
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa imesema kitendo Cha Wagombea kugawa Fedha, Nguo na Chakula Kwa Wapiga kura kinadhalilisha Utu wa Mtu

Source: Mwanzo Tv Plus

Waione Sugu na Lucas

Mlale Unono šŸ˜ƒšŸ˜ƒ
 
Spika Tulia Akson ,amegawa pilipili 200 za rushwa,Samia ameweka MABANGO since2021 ,Samia amegawa fedha mil 100makanisani
 
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa imesema kitendo Cha Wagombea kugawa Fedha, Nguo na Chakula Kwa Wapiga kura kinadhalilisha Utu wa Mtu

Source: Mwanzo Tv Plus

Waione Sugu na Lucas

Mlale Unono

Kwa nini wanapindisha maneno? Wanatakiwa kusema kuwa hiyo ni rushwa dhalili.
 
Rushwa ni matumizi ya vishawishi visivyokubalika kimaadili hasa kwenye mambo yanayohusu Uma (ukimshawishi mchumba, mke, watoto) haituhusu.
Ukitumia pesa, undugu, ukabila, urafiki,... ni rushwa kwa akili na tafsiri isiyo ya kirushwarushwa.
 
Kama takukuru wanasema hivo je wanachukua hatua Gani Sasa?kazi Yao ni Nini Sasa?yaani wanalalamika badala ya kuchukua hatua.waanze na bi chura Huwa anagawa vitenge kwenye vikao vyao vya kahawa
 
Back
Top Bottom