Taja mambo mazuri yaliyoasisiwa na Kanisa Katoliki na hadi leo yanatumika maeneo mbalimbali na yenye manufaa kwa Wakiristo na wengineo duniani kote

Elimu
Mashule jamani🙌, the best ones na za kati
Ni nyingi mpk basi kutoka awali mpk vyuo vikuu

Ufundi pia ,iwe ni kushoba,upishi,mambo ya umene yaani ni maeneo mengi
Afya
Hospital nyingi mpk Leo imekuwa mkombozi baadhi ya maeneo!
Tena Kuna mahali ht za serikali hawaendi wanaenda hosp za kanisa sbb ya huduma nzuri na gharama

Wapewe maua yao.
 
Kalenda inayotumika duniani kote iliasisiwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Grogory IV
Mifumo yote ya utoaji haki duniani iliasisiwa na Roma ndipo ikaja misemo maarufu kama 'Roma lacuta, causa finita"
Mifumo yote ya Elimu kwa njia bora na za kisasa ziliasisiwa na Roma
Mifumo mingi ya kijeshi, kiulinzi na kiusalama kuanzia mashirika ya kijasusi na kiintelijensia Yameasisiwa Roma
Wajesuit ndilo shirika lenye taasisi kubwa za kielimu duniani kote kupitia vyuo na shule zao mfano Loyola
Katoliki ndilo shirika pekee lisilo la kiserikali (NGO) linalotoa huduma za kijamii kama shule, afya n.k Kuliko shirika,kampuni au taasisi yoyote duniani
Katoliki ndiyo waasisi wa Mifumo yote ya kidini na filosofia zake
Roma ndiyo waasisi wa mifumo yote ya kiutawala na filosofia zake ndizo zinazotumika
Ndilo kanisa pekee lenye utajiri usiweza kuhesabika, na ukubwa wa ardhi usioweza kukadirika.
Ndiyo kanisa kongwe zaidi duniani
Ndiyo taasisi pekee ya ki'Mornachy' iliyodumu kwa miaka zaidi ya miaka 2000 bila kutetereka
Ndiyo waanzilishi wa 'Number system' kwa herufi zao za kirumi
Lugha nyingi ikiwemo English ni zao la lugha ya kilatini
Mambo mengi ya anga na wataalam wengi wa astronomy walianza Roma, watu kama mamajusi, Galileo galilei na wataalam wengi chimbuko lao ni Rumi
Kwa kifupi mbinu zote za kilimo, mfano crop rotation, engineering, science & technology na sanaa yote ya dunia ilianzia na kuvumbuliwa Roma karne nyingi zilizopita.
.......................
......................
....... nk.
 
Kalenda inayotumika duniani kote iliasisiwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Grogory IV
Mifumo yote ya utoaji haki duniani iliasisiwa na Roma ndipo ikaja misemo maarufu kama 'Roma lacuta, causa finita"
Mifumo yote ya Elimu kwa njia bora na za kisasa ziliasisiwa na Roma
Mifumo mingi ya kijeshi, kiulinzi na kiusalama kuanzia mashirika ya kijasusi na kiintelijensia Yameasisiwa Roma
Wajesuit ndilo shirika lenye taasisi kubwa za kielimu duniani kote kupitia vyuo na shule zao mfano Loyola
Katoliki ndilo shirika pekee lisilo la kiserikali (NGO) linalotoa huduma za kijamii kama shule, afya n.k Kuliko shirika,kampuni au taasisi yoyote duniani
Katoliki ndiyo waasisi wa Mifumo yote ya kidini na filosofia zake
Roma ndiyo waasisi wa mifumo yote ya kiutawala na filosofia zake ndizo zinazotumika
Ndilo kanisa pekee lenye utajiri usiweza kuhesabika, na ukubwa wa ardhi usioweza kukadirika.
Ndiyo kanisa kongwe zaidi duniani
Ndiyo taasisi pekee ya ki'Mornachy' iliyodumu kwa miaka zaidi ya miaka 2000 bila kutetereka
.......................
......................
....... nk.
Duniani kote ni exaggerating vipi China wanafuata mifumo ya Kanisa Katoliki
 
Moderator: naomba Uzi huu sio wa uache uwe huru na ujitegemee wenyewe lengo ni kujifunza

Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Kisiasa, kiuchumi, kijamii

Karibuni

Muwe na siku njema
1. Invention of the bible. Biblia as we see it today ni kazi ya kanisa katoliki. Walichagua vitabu vipi viwepo na vipi visiwepo. Vile walivyoficha, walitumia mafundisho yake kwa siri kama mapokeo. Ndio maana misingi ya mafundisho ya kanisa katoliki ni biblia, roho mtakatifu na mapokeo. Hatuoni injili ya petro, barnabas au ya james kwenye biblia. Ila zipo vatican.na mafundisho yao mema hutumika na kanisa mpaka sasa.

2. Kumpa hadhi Umungu Yesu, na fumbo ya utatu mtakatifu. Kwenye maandiko, hapakuwa na mahala ambapo Yesu alijiita Mungu, bali mwana wa Mungu kama tulivyosote tulioumbwa kwa mfano wake. Baada ya mafundisho ya kikristu kukataliwa kwa wayahudi, mitume waligeukia kwa mataifa. Kipindi icho Roman empire ilikuwa inaelekea kwenye kuanguka. Ndipo kaisari Constantine alipoamua kuadopt Christianity kama njia mpya ya kuendeleza utawala wake.

Kufanya hii iwe rahisi, waliingiza mila na desturi za kipagani katika ukristo ikiwepo Yesu kupewa hadhi ya kimungu kuchukua nafasi ya mungu wa kipagani mungu jua. Ndio manaa anakufa siku tatu ( tar 23 dec ni kipindi cha winter kali norther hemisphere, na usiku unakuwa mrefu zaidi kuliko mchana, hii hali ni kwa siku tatu, tar 23, 24 na 25 jua linaanza kurudi northern hemisphere) kwa warumi..hii ilikuwa ishara ya kufa kwa mungu jua, na kuzaliwa upya kwa mungu jua baada ya siku tatu. Ndipo kanisa likaweka tar hii kusherekea siku ya x-mass.

Hii ni the same kwa tarehe ya pasaka, Tar 22 March jua huwa equator, na maeneo ya norther hemisphere hupata mwanga na joto la kutosha. Kipindi hiki miti iliyokuwa umepukutisha majani kipindi cha winter huwanza kushade tena, wanyama waliokuwa wamejificha na kuhibanate wanarejea tena maporini. Wenzetu wakawa wanasherekea sikukuu ya mavuno kipindi hiki. Hii ndio sababu ya pasaka kuwa kati ya march na april.

3. Creation of islam. Baada ya kuanguka kwa roman empire na kupoteza control katika maeneo ambayo kanisa iliyaona kama ni muhimu kwa historia (Maeneo ya uyahudi Jerusalem, hekalu la solomon etc) baada ya kuvamiwa a falme pagani za persia na wengineyo. Kanisa ilibidi ibuni namna ya kuwatumia locals wa middle east kupambana wavamivi hawa pia kuwapa sababu ya kupigania maeneo haya.

Ndipo Vatican wakamtumia Fatima, mke wa Muhamad kufanikisha hili. Historia ya Fatima inaonesha alikuwa na umri mkubwa kuliko Muhamad, tajiri na alikuwa exposed kwani alikuwa mfanyabiashara mkubwa. Vatican ilimtumia kumtafuta kijana wa kiarabu, jasiri. Wakampa mafundisho ya msingi ya kanisa na kumjaza imani. Ikampatia Fatima kitabu kwaajili ya kukitumia katika mafundisho. Bila Muhamad kujua kitokapo, ndipo dhana ya kitabu kushuka kutoka Mungu ndipo ikazaliwa. The rest is history.

Kanisa kuenzi mchango wa Fatuma katika hili, kanisa likaupa mji wenye historia ya kikristo huko Hispania jina la Fatima. Wakatoliki tunafahamu historia ya watoto wa fatima, lucia, fransisca na Yasinta. Ni mji wenye Makanisa ya zamani zaidi huko ulaya na ni mji wafia dini.
 
Duniani kote ni exaggerating vipi China wanafuata mifumo ya Kanisa Katoliki

Duniani kote ni exaggerating vipi China wanafuata mifumo ya Kanisa Katoliki
Huko China ndiyo kabisa, Hiyo mifumo ya umwagiliaji na technology nyingi wamechukua kutoka Roma, Unaposema China hawafuati mifumo wakati wanatumia Calendar ya Pope Gregory VI una maana gani? hakuna sehemu duniani isiyokuwa na influence ya Roma. China na Roma ilishirikiana sana mwanzoni mwa karne ya 12 kupitia 'Silk road'.Teknolojia ya Glass pamoja na mavazi ya utamaduni ya kichina source ni kupitia dola ya kirumi. Jesuit Missionaries ndiyo walioanzisha western mathematics and science huko China, walikuwa hawajui chochote zaidi ya lugha yao ya kichina.
 
Ivi lini ndoa zao wataruhusu mke zaidi ya mmoja na pia urahisi wa utoaji wa talaka?
 
Huko China ndiyo kabisa, Hiyo mifumo ya umwagiliaji na technology nyingi wamechukua kutoka Roma, Unaposema China hawafuati mifumo wakati wanatumia Calendar ya Pope Gregory VI una maana gani? hakuna sehemu duniani isiyokuwa na influence ya Roma. China na Roma ilishirikiana sana mwanzoni mwa karne ya 12 kupitia 'Silk road'.Teknolojia ya Glass pamoja na mavazi ya utamaduni ya kichina source ni kupitia dola ya kirumi. Jesuit Missionaries ndiyo walioanzisha western mathematics and science huko China, walikuwa hawajui chochote zaidi ya lugha yao ya kichina.
To say the least you do not know the Catholic church! It is only in China where the Pope cannot appoint a bishop without approval of the government of China. Catholic church has flourished in Latin America look how poor are their countries?
 
Kwa maana hiyo mnataka kusemaje? Sisi waadventist tunaruhusiwa kucomment? Maana hakuna dhehebu silipendi kama roman catholic
Waabudu sanamu hao
Wanywa pombe hao
Wala nguruwe hao
Wanaofanya kaz sik ya sabato hao
Hawazingatii sabati ya kweli
Wanathamini matajiri tu
Padri anapelekewa mpka mayai
 
Back
Top Bottom