Nadhani tungekuwa na Tambiko la Kitaifa kila mwaka ingeleta maana zaidi.
Nimeshuhudia matambiko yakileta mabadiliko chanya lakini sijawahi kupata ushuhuda wa maombi na sala zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari na ushuhuda third party...
kila din inasali kwa njis yake, sii lazima makanisa yote tuungane hapana kila kanisa lisali liwezavyo kwa jins yake namanisha aic kivyao,eagt kivyao,islam kivyao ee hivyo, ila tu iwe siku moja na endelevu na iwe kimamlaka zaid.

Ww na mungu nani anamtafuta mwenzie?
Halafu mi nimewasilisha,mawazo binafsi ndo huwa mawazo ya weng,huoni kwamba kuna mambo yanafanywa yasiyo mpendeza mungu?
Nadhani tungekuwa na Tambiko la Kitaifa kila mwaka ingeleta maana zaidi.
Nimeshuhudia matambiko yakileta mabadiliko chanya lakini sijawahi kupata ushuhuda wa maombi na sala zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari na ushuhuda third party...
Ww na mungu nani anamtafuta mwenzie?
Halafu mi nimewasilisha,mawazo binafsi ndo huwa mawazo ya weng,huoni kwamba kuna mambo yanafanywa yasiyo mpendeza mungu?
ati nini..?!!
kufunga,kusali
nini hiki..? kufunga kula ni kusababisha madonda ya tumbo, mbona huwa kuna makongamano watu wanasali but sioni mabadiliko yoyote..!! he he he
au hayaonekani kwa macho...?
Ndio, ninamaanisha hivyo! Kusali ni kupoteza muda nguvu na fedha, ukizingatia karibia wanaosali wote ndio wadhambi wenyewe wa baadae. Matambiko kwanza...