Taifa Stars wapewe milioni 5 yao ya goli la kujifunga kule DRC,italeta hamasa kwa mechi ijayo

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,017
49,172
Kipindi niko shule headmaster wetu alukuwa anatoa xawadi kwa wanafunzi watatu bora na watatu wa mwisho.
Hii ilipelekea wale watatu wa mwisho kupambana sana jukwepa zawado ya nchongo kwa muhula unaofata.

Stars wanechoma kule DRC wapewe hela yao ya goli la mama,huyohuyo aliyechpna atachomoa nechi ijayo kukwepa fedhea.

Ni hesabu ndogo tu za kisaikolojia.

Soma Pia: Yanga, Simba na Azam kununua goli milioni 5 ili kuipa hamasa Taifa Stars
 
Kama wakifanya Vizuri wanapata Zawadi.!
Basi, Wakivurunda Pia Wapewe Adhabu..!Tukitaka na sisi tuwe Kwenye Ramani adhabu itolewe ( I.e Viboko Vitembee...
 
Back
Top Bottom