george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,016
WAAFRIKA WENGI huamini ISRAEL ina Wakristo WENGI SANA. Je, ulikua unajua kuwa, WAISLAMU ni wengi kuliko WAKRISTO pale ISRAEL? lakini pia, dini iliyo na wafuasi wengi ZAIDI ni WAYAHUDI ambao wao hawaamini kama YESU alishawahi kuzaliwa na kuishi tayari. Hawa ni ZAIDI ya ROBO TATU ya WAKAZI WOTE WA ISRAEL.
Wakristo ISRAEL ni wachache kama vile WAPAGANI hapa Tanzania walivyo wachache.
Mwanzo ulikuwa unaaminije?
Kama ulikuwa unaunga mkono vita vya ISRAEL na PALESTINA kwa sababu za kidini, basi endelea kuunga mkono huku ukiwa umeshaujua ukweli tayari , George, endelea kusoma historia ya maisha inaitwa jinsi maamuzi ya mzazi yanavoathiri afya ya akili ya mtoto, Uzi upo humu nishaupost