Ashura9 JF-Expert Member Oct 21, 2012 740 485 Feb 11, 2016 #1 Taarifa kwa Umma wa Dar es salaam Watu wote watakaoingia bandarini kuanzia tarehe 15 Februari 2016 watakuwa wanapimwa magetini kabla ya kuingia kuona kama wametumia kilevi cha aina yooyote. Soma zaidi chini
Taarifa kwa Umma wa Dar es salaam Watu wote watakaoingia bandarini kuanzia tarehe 15 Februari 2016 watakuwa wanapimwa magetini kabla ya kuingia kuona kama wametumia kilevi cha aina yooyote. Soma zaidi chini