Tahadhari: Usikope BancABC, ni wababaishaji

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
3,127
3,055
Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa usifikirie kukopa hiyo bank inayoitwa Bank ABC.

Wakati unakopa watakwambia utapata mkopo ndani ya masaa 48. Ukishajaza fomu utasubiri zaidi ya miezi miwili, kila siku ni ahadi kesho kesho.

Au hii benki imefirisika?
 
Back
Top Bottom