Tahadhari Picha zinatisha: Baba aua wanawe na mkewe

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,149
6,989


Inasemekana tukio limetokea Singida ambapo baba amemuua mke wake, pia watoto ambapo mmoja alimchoma na kula nyama.

Binadamu kwanini tunakuwa makatili? Tufanye nini ili ikatili huu uondoke ?

Tuungane kuondoa ukatili wa aina yoyote.

Mmoja amchoma moto na kumla.
 
Ile T shirt ina picha ya Magufuli? Hapa kazi tu.Thank God haikuwa na picha ya Nyerere. Tokea Magufuli aanze kazi majukumu ya raia siyo clear Waziri mmoja tu yule mpango ndio ametoa ushauri kwa wananchi;wasizurure,wasicheze pool,wasitazame mitandao ya jamii.
 
Teh!.Chama kinamazindiko hicho!.Mtu anatupiwa mtisheti nae anaupiga tu!.Hajui maagano yaliyofanywa pole zake!.

gnassingbe;
Kweli nilikuwa so much stressed lakini kwa nukuu zako hizi nimejikuta machozi yakitoka kwa kicheko. Dah! Kumbe hizi flana zina mambo yake. Nadhani ni kwenye jimbo lile la aliyepandishwa cheo siku za karibuni. Haya jama kumekuchaaa.
 
ndo mana nchi zilizo endelea wakaweka therapist wa kutosha, unaweza ukakuta jamaa alikuwa na mawazo na stress nyingi either za maisha au mambo mengine lakini hakuna wakuzungumza nae
 
Mkuu Andrew Nyerere habari ya siku nyingi. What if Tshirt ingekuwa na picha ya mzee wako?
 
Sasa hiyo t-shirt kuwa na picha ya magufuli na kutokuwa na picha ya nyerere kunahusiana vipi na hayo mauaji?
 
kuna jambo limepelekea huyo kijana kufanya hivo c bure,yan mmoja kamchoma na kumla?mmh!!! akili haiko sawa hapo.vijana msivae hizo T-shirt zinatupa laana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…