Tahadhari: Kwa wanaume na wanawake wanaochepuka. Likichomekwa Panga chini.....

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,266
2,870
Hii dawa nimeambiwa inapatikana sana kanda ya ziwa. wanaume wanawawekea wake zao. sasa wewe jifanye upo soap soap na brotherman ,mtanashati n.k ukatembee na mke wa mtu ambaye amemwekea dawa.

inasemekena kuwa akishawekewa dawa hii basi mume hupaka pia ile dawa kwenye panga halafu anatafuta seheme anayoijua yeye anaenda kuchomeka chini lile panga. basi mke huyo akienda kutembea na mwanaume mwingine hawatoki. jamaa akiingia ndo ameingia. mpaka aletwe mwenye mke halafu aende kuchomoa panga huko alikochomeka. ni hatari sana kwa wazinzi.watu wameamua sasa kutumia mbinu mbadala baada ya kuona kizazi cha wazinzi kinazidi kuongezeka tu duniani.
 
Mama yangu weeee...dawa nzr sana hiyo
 
Boraaaaa
 
Hii dawa nimeambiwa inapatikana sana kanda ya ziwa. .
Hawa hawa wanauwa ndugu zetu wa kialbino?! Wanaoamini "gambushi" watu wanatembea na ungo, wanaoamini mti unalia, wanaoamini fisi anatumiwa kufanya kazi binadamu? Kazi ipo...ndio mababu zetu kule walipokuwa wakicheza na almasi mzungu akawapa gololi?!Hahahahaha....elimu kitu kizuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…