Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 5,125
- 10,538
Wanaume heshima kwenu.
WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA.
Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu
hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani.
Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa Xmass na mwaka mpya. Kama mjuavyo
wanawake na sikukuu ni pete na kidole.
Ukiingia kwenye mfumo utatoboka kama huna wazazi! Kama ni single maza hata watoto wake utawanunulia nguo na mahitaji mengine.
November sio kipindi sahihi cha kuanzia mahusiano mapya.
Control genye zako ulinde kibunda chako wanaume ni kusanuana.
NIMEMALIZA.