Hahahaa, Mkuu, hatuishi kwa kutegemea mapepo.Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Mkoa gani wa Durban?Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Mnatunga vituko na kujipongeza, mara Bashite kapewa PhD labda ya utumbo.Mleta mada wewe ndio yule pepo aliegoma kumwingia Makonda?
Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Mimi zile amri zake tu za kila Siku, majivuno na Kudharau wenzake, kulinipa majibu ya Elimu yake, nilisubiri tu Muda Uamue.Mkoa gani wa Durban?
Correction, mkuu wa mkoa wa Dsm ni Daudi Albert Bashite anayetumia vyeti na jina la Paul Makonda!Kwan Si bado Paul C makonda ni mkuu wa mkoa wa Dsm?!
Mleta mada wewe ndio yule pepo aliegoma kumwingia Makonda?
Huu uchokoz sasaYeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,
Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,
Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzania
Lazima ujue historia. Hii itakusaidia sana kujua wenzako walipokosea ili wewe ufanye vizuri. Jali watu, weka mazingira rafiki ya kufanya biashara, watu wafanye biashara halali kwa uhuru, usiwe Kama Yule Mshamba anayewapangia watu wazima muda wa kulala na kuamka,
Tumia jeshi la polisi kwa manufaa na usalama wa Raia, usiwe Kama Yule Mshamba aliyetaka kulitumia kunyanyasa na kupiga watu kwa amri zake za kishamba, Kumbuka Serikali inategemea kodi za Raia, ni Jukumu lako kuhakikisha Raia na wafanyabiashara wanalindwa kwa kiwango cha Juu na Polisi, kwa sababu bila hao Raia kulipa kodi Polisi hawawezi kupata mishahara.
Hakikisha biashara Dar zinafanyika Muda wote, Usiku na Mchana, na kila anayefanya biashara Ana uhakika wa Ulinzi, polisi watoke vituoni wakae mitaani kuimarisha ulinzi
Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO
Yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,
Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,
Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzan
Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO
Mungu wa Makonda anaishi siyo sawa na yule wenu wa misukule.Mnatunga vituko na kujipongeza, mara Bashite kapewa PhD labda ya utumbo.
Sawa Mkuu, lakini kumbuka hili ni Jiji la Biashara Ushamba hapa ni MwikoMungu wa Makonda anaishi siyo sawa na yule wenu wa misukule.