Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono.
Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini tutajua dhumuni lako ilikuwa kuona video za ngono.
Hili suala la siku hizi la akaunti yako kuonekana imesambaza picha za utupu, ni kwamba uliona link ya video hiyo, kwa njaa na kiu ya kutaka kuiangilia, ukabonyeza link uone yaliyomo, hapo ndo unapelekwa kwenye tovuti nyingine inayofanana na Facebook, ila sio Facebook, na automatocally video inasambazwa kupitia akaunti yako, bila kuwa kwenye profaili yako.
Tukiona imesambazwa, tutajua sio wewe, ila tutajua uliclick link.
Hizi kitu zinatia aibu sana, ikiwa wewe unafuatilia pornografia kwa siri download kwa siri, angalia kwa siri, na uvute kwa siri.
Hiyo kiu ukija nayo huku na presha ya kubonyeza viambatanisho ovyo, yatakufika hapa, utaaibika.
Nazungumzia ili suala la siku hizi, ni tofauti sana na lile la kudukuliwa na kuibiwa akaunti yako.
Hili ni kiu ya kuona video Chafu, Presha ya ku click.