TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Invisible

JF Admin
Feb 26, 2006
16,286
8,371
Wakuu,

Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:

Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.

Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).

Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!
 
Naomba muanzishe huo uzi sasa hivi .
Maana kuna jamaa anauza simu anaitwa vieloon aliniliza hela yangu nikamkaushia sijampeleka popote...
Lkn nina uhakika hata baada ya miaka 10 tutakutana tu na atailipa kwa njia ambayo hakuwahi kuiota maisha yake yote..
N.b..picha yake ninayo so nnasubiri siku tutakayokutana nilipize kisasi
 
Pole nami nimetapeliwa jumla elfu 55 na mia 5 nimeamua kuwasamehe lkn siku nikimuona atajuta kuzaliwa
 
Naomba muanzishe huo uzi sasa hivi .
Maana kuna jamaa anauza simu anaitwa vieloon aliniliza hela yangu nikamkaushia sijampeleka popote...
Lkn nina uhakika hata baada ya miaka 10 tutakutana tu na atailipa kwa njia ambayo hakuwahi kuiota maisha yake yote..
N.b..picha yake ninayo so nnasubiri siku tutakayokutana nilipize kisasi
Hivi huwa najiuliza unamliza MTU kahela kake tena bila hata huruma ,unapata faida gani ? Mimi nafikiri sasa tuanza kupamban a na hawa jamaa kwa kuwaanika hapa.
 
Hivi ukimtokea memba humu PM mkakubaliana na ukatuma hela mara kadhaa za nauli, salon, michango ya vifo/ bday yake, simu Iphone 10plus na BADO hajakupa papuchi, hii pia si KULIZWA jamani.
Invisible hapo vipi, si naweza kupata msaada nikarudishiwa angalau nusu tu ya gharama zangu?
Umetisha mzee
 
Back
Top Bottom