Tahadhali na Mayai Feki ya wachina

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Mayai feki kwenye picha(Imitation Eggs)

Wachina wamegundua jinsi ya kujiongezea kipato kwa kutengeneza mayai na kuyauza bila kuhitaji kulea kuku!!
Katika biashara hiyo unaweza kupata mpaka dolar 70 (shs 140,000/-) kwa siku. Unachohitaji ni kuchanganya kemicali mbalimbali basi unapata yai. baadhi ya Madhara ya mayai hayo ni kupoteza kumbukumbu.

Mbali ya mayai, wametengeneza nyama, njegere, viazi vitamu, mchele vyote kwa kutumia kemikali za plastic na zingine.
------------------------------
Some Chinese websites have come out with instructional videos on how to make $70 a day by producing and selling fake eggs. The chemicals that are required are “Alginic Acid, Potassium Alum, Gelatin, Calcium Chloride, water and artificial color.” The eggshells are made from Calcium Carbonate. Eating these eggs may cause memory-loss and dementia.
Chanzo: 10 Foods Made in China That Are Filled With Plastic, Pesticides and Cancer Causing Chemicals
 
Hamna kitu kama hicho,gharama za kutengeza yai moja fake linazidi maradufu gharama ya kuuza yai halisi,

hizo ni mbinu za kuwapaka matope wachina
 
Yaani Wachina kila kitu kwao fake mpaka wamefikia ku-fake data halisi za ukuaji wa uchumi wao na soko lao la hisa.
 
Hamna kitu kama hicho,gharama za kutengeza yai moja fake linazidi maradufu gharama ya kuuza yai halisi,

hizo ni mbinu za kuwapaka matope wachina

Akili za kiccm ndivyo zilivyo

Tembea uone we unakaa huko kuzimu utajuaje ya duniani???

China kuna mpaka garlic fake

Punguza ubishi sio kila kitu unaweka ligi wakati hata Kenya hujawai kufika
 
Akili za kiccm ndivyo zilivyo

Tembea uone we unakaa huko kuzimu utajuaje ya duniani???

China kuna mpaka garlic fake

Punguza ubishi sio kila kitu unaweka ligi wakati hata Kenya hujawai kufika
Yaani haujamuelewa alikuwa na lengo gani tuu?huyo ni mpinga Marekani na hapo anamaanisha kuwa hayo mayai fake ni uzushi au propaganda za Marekani kumchafua mchina.
 
Yaani haujamuelewa alikuwa na lengo gani tuu?huyo ni mpinga Marekani na hapo anamaanisha kuwa hayo mayai fake ni uzushi au propaganda za Marekani kumchafua mchina.

Frank huyu jamaa ana mwenzake mmoja anajiita lizaboni akili zao zinafana

Mimi huwa nahisi hawa kama sio wanafunzi wa college watakuwa watumwa wa wahindi huko TZ
 
Hamna kitu kama hicho,gharama za kutengeza yai moja fake linazidi maradufu gharama ya kuuza yai halisi,

hizo ni mbinu za kuwapaka matope wachina
Watanzania kwa ubishi lol sijawaonea mfano si ungesubiri mtoa mada ajibu ili na wewe utielimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…